Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s), Mashia na wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) waliomboleza Arbaeen ya Imam Hussein (as) kwenye "Kituo cha Kiislamu cha Waafghanistan cha Berlin" nchini Ujerumani.
28 Agosti 2024 - 17:04
Msimbo wa Habari: 1481363